Ubaguzi

Azimio la usawa

Katika miongo kadhaa iliyopita, nchi nyingi zimepitisha sheria zinazolenga kudumisha haki sawa kwa wote. Je, mitazamo miongoni mwa vizazi imebadilika vipi ?

Kwa wastani, ni kizazi kipi kinaonyesha shauku kubwa kuhusu kutowabagua wanawake, mbari na kabila za watu wachache, na dini za watu wachache?

Jibu swali lililo hapa juu ili kujifunza zadi kuhusu hali inayobadilika ya utoto.

Rudi kwenye swali
Kwa wastani tunapata kiwango sawa na thabiti cha idadi kubwa ya vijana na watu wenye umri mkubwa wanaounga mkono usawa kwa kila kimoja kati ya vikundi hivi.
Katika nchi tajiri, hali ni tofauti. Huko, vijana wanaonyesha shauku kubwa zaidi kwa usawa na ubaguzi kuliko watu wenye umri mkubwa.
Hili ni kweli kuhusu mbari na makabila ya watu wachache,
dini za watu wachache,
wanawake,
na watu wa LGBTQ+.

Ni maendeleo gani ambayo vijana wanaweza kutimiza katika mapambano dhidi ya ubaguzi katika maisha yao?

Shiriki hadithi hii

Jifunze zaidi kuhusu kipengele hiki cha jinsi utoto unavyobadilika

UbaguziUsawa kwa baadhi