Afya ya Kiakili

Kuwa na mkazo

Kwa kila kizazi, watoto hukabiliwa na nafasi za kipekee za kustawi. Lakini pia wanaweza kuhisi wamelemewa na matarajio.

Tulifanya utafiti miongoni mwa watu wenye umri wa miaka 15-24 na 40+ katika nchi 21 ili kuchunguza jinsi utoto unavyobadilika.

Soma zaidi kuhusu utafiti
Tuliuliza watu kuhusu mkazo ambao unawakumba vijana leo. Unaonaje?
Unafikiri watoto leo hivi hupitia mkazo zaidi au mdogo kutoka kwa wazazi ili kufanikiwa ikilinganishwa na wakati ambao wazazi wao walikuwa wanakua?

Jibu swali lililo hapa juu ili kujifunza zadi kuhusu hali inayobadilika ya utoto.

Rudi kwenye swali
% ya vijana wanaoamini kuwa watoto leo hivi hukumbana na mkazo zaidi wa kufanikiwa kuliko wazazi wao walivyopata
Mkazo zaidi
59%
Mkazo mdogo
35%
Kwa wastani, 59% kati ya vijana wanaamini kwamba watoto leo hivi hupitia mkazo zaidi wa kufanikiwa kuliko ule ambao wazazi wao walipata walipokuwa watoto.
idadi kubwa ya watu wenye umri wa miaka 15-24 wanasema kwamba watoto hupitia mkazo zaidi wa kufanikiwa kuliko ule ambao wazazi wao walipataidadi kubwa ya watu wenye umri wa miaka 40+ wanasema kwamba watoto hupitia mkazo zaidi wa kufanikiwa kuliko ule ambao wazazi wao walipata
Hili ni kweli katika takribani nchi zote tulizofanyia utafiti.
Katika 17 kati ya nchi 21, idadi kubwa ya vijana wanaamini kuwa watoto leo hivi hupitia mkazo zaidi wa kufanikiwa.
Lakini sio vijana tu wanaojihurumia…
Idadi kubwa ya watu wenye umri mkubwa kwenye 15 kati ya nchi 21 wanakubali kuwa watoto leo hivi wanakumbana na mkazo zaidi wa kufanikiwa kuliko katika siku zilizopita.

Je, mkazo ulioongezwa una athari gani kwa watoto leo?

Shiriki hadithi hii

Jifunze zaidi kuhusu kipengele hiki cha jinsi utoto unavyobadilika

Afya ya KiakiliUsumbufu wa kiakili