Habari
Vyanzo vya kuaminika
Habari ziko kila mahali. Huwa unapata zako wapi?
Tulifanya utafiti miongoni mwa watu wenye umri wa miaka 15-24 na 40+ katika nchi 21 ili kuchunguza jinsi utoto unavyobadilika.
Soma zaidi kuhusu utafitiJibu swali lililo hapa juu ili kujifunza zadi kuhusu hali inayobadilika ya utoto.
Rudi kwenye swaliKwa wastani, 69% kati ya Watu wenye umri wa miaka 15-24 hutumia vyanzo vya kidijitali…
…ikilinganishwa na 32% kati ya watu wenye umri wa miaka 40+
Kuna tofauti kubwa katika matumizi yavyanzo vya kidijitali na vyanzo vya zamani kati ya vizazi vichanga na vyenye umri mkubwa.
Hilo ni kweli katika kila mahali tulikotafiti, katika nchi za maeneo yote na viwango vyote vya mapato.
Ingawa mkondo huu ni sawa kila mahali, pengo la vizazi ni pana zaidi katika baadhi ya nchi kama vile Ufaransa…
Ujerumani…
…na Brazili.
Pengo ni finyu zaidi katika nchi kama vile Zimbabwe…
Kameruni…
…na India.