Utandawazi
Mahali unapopaita nyumbani
Wengine wanahisi kuvutiwa zaidi na mazingira yao ya moja kwa moja. Kwa wengine, wanavutiwa na mazingira ya nje.
Shirika la UNICEF pamoja na shirika la Gallup yaliwauliza vijana na watu wazima katika nchi 55 jinsi wanavyoona ulimwengu kwa sasa.
Soma zaidi kuhusu utafitiJibu swali lililo hapa juu ili kujifunza zadi kuhusu hali inayobadilika ya utoto.
Rudi kwenye swali27% ya vijana wanasema wanajitambulisha zaidi na ulimwengu.
Tulitambua kwamba kwa wastani, karibu idadi sawa ya vijana husema kuwa wanahisi huru zaidi katika ulimwengu au katika jiji/mtaa wao.
Kwa sasa 39% wanasema mvuto wao mkubwa zaidi ni kwa nchi yao.
Lakini mitazamo inatofautiana kati ya nchi — na viwango vya mapato…
Inamaanisha nini kujitambulisha zaidi na ulimwengu? Wanaofanya hivyo wanaweza kuwa na mtazamo wa kimataifazaidi na kuacha kuwa na mtazamo wa kitaifa.
Kwa mfano, wale wanaosema wangependa kuhamia katika nchi nyingine wana uwezekano mkubwa wa kujitambulisha kama raia wa kimataifa kuliko wale ambao hawangependa kuhamia katika nchi nyingine.