Teknolojia ya kidijitali
Hatari za mtandaoni
Mtandao umefungua nafasi zisizohesabika kwa watumiaji. Lakini pia huleta hatari nyingi— hasa kwa vijana.
Jibu swali lililo hapa juu ili kujifunza zadi kuhusu hali inayobadilika ya utoto.
Rudi kwenye swaliKwa wastani, jibu maarufu zaidi miongoni mwa watumiaji wachanga wa mtandao ni "nina wasiwasi kiasi".
Lakini miongoni mwa watumiaji wa mtandao wenye umri mkubwa, jibu maarufu zaidi ni "nina wasiwasi sana".
Mafungu sawa ya vizazi vya vijana na watu wenye umri mkubwa yaliripoti "kutokuwa na wasiwasi hata kidogo."
Mitazamo inatofautiana sana katika nchi…
Ndani ya Naijeria, kati ya vijana wanasema "nina wasiwasi sana".
Ni tu kati ya vijana waliotoa jibu sawa kwenye 13%.
Faragha ya data ni wasiwasi mmoja tu kuhusu matumizi ya mtandao.
Idadi kubwa ya vijana katika takribani nchi zote zilizofanyiwa utafiti wanaona hatari kubwa kwa watoto kuwa mtandaoni — kuanzia kuzungumza na watu wasiowafahamu, hadi kukubali kukutana ana kwa ana na watu ambao wamekutana nao mtandaoni, hadi kudhulumiwa au kunyanyaswa kingono.
Vijana wa kike wana uwezekano mkubwa wa kuona hatari kwa maisha mtandaoni, hasa kwa watoto.